Social Share Icons

 


Mwalimu mmoja wa shule ya msingi ambae anajulikana kama mwalimu Abdu, ambae anafanya kazi katika shule ya msingi Maundo iliyopo wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, amekutwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake wa darasa la saba.


Tukio hilo la aibu limetokea tar. 12/03/2015 saa 8:15 mchana katika shule ya msingi Maundo ambapo mwalimu mmoja wa kike alimkuta mwalimu mwenzake akila tunda la mwanafunzi wake ofisini. 
Mwalimu huyo baada ya kushuhudia tukio hilo alifunga mlango wa ofisi na kwenda kuwaita watu, mwalimu Abdu alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi Tandahimba.

Mashuhuda wa tukio hilo walisika wakisema kuwa mwalimu huyo amekuwa na tabia hiyo ya kufanya mapenzi na wanafunzi wake kwa muda mrefu.
Via>>EATV

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Chapisha Maoni

 
Top