Tumeshuhudia kwa timu zilizoendelea wanaweka nguvu kubwa kuwekeza sio
kwenye wachezaji wakali uwanjani bali hata kuwa na viwanja vizuri.
Leo nakuwekea hii ya list ambayo ina pichaz za hivi viwanja 10 vya mpira
wa miguu ambavyo vinaongoza kwa kuchukua idadi kubwa ya mashabiki
duniani:-
4. Camp Nou
Upo Hispania, una uwezo wa kuchukua mashabiki 99,786. Huu ni Uwanja wa nyumbani wa Klabu ya Barcelona.
5. FNB Stadium
Upo Johannesburg Afrika Kusini, una uwezo wa kuchukua mashabiki94,736. Jina maarufu ambalo Uwanja huu unaitwa ni Soccer City.
10. Eden Garden
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Chapisha Maoni